t

Sustainable Development Goals

TERMS AND CONDITIONS

Welcome to our website. If you continue to browse and use this website, you are agreeing to comply with and be bound by the following terms and conditions of use. If you disagree with any part of these terms and conditions, please do not use our website.

The use of this website is subject to the following terms of use:


You may not do any of the following while accessing or using the Inclusive Development for Citizens platform and services:


---------------------------------------------------------------------------------------------------------- ---------------------------------------------------------------------------------------------------------- --------------------------------

The Sustainable Development Goals (SDG’s) are a global agenda adopted by countries in 2015 acting as the blueprint to achieve a better and more sustainable future for all. They address global challenges including those related to poverty, inequality, climate, environmental degradation, prosperity, and peace and justice.

Inclusive Development for Citizens works in line with the achievement of these goals so as to achieve shared prosperity.Click on the GOALS below to learn more on how Inclusive Development for Citizens contributes towards the goals.


IDC-TZ WORKS ON SDG

Mifumo Kandamizi Kwa Mtoto Wa Kike

Mfumo wa elimu haupaswi kuwa kandamizi kwa wanafunzi wa kike, serikali kwa kushirikisha wadau mbalimbali wa elimu, inapaswa kutengeneza mfumo madhubuti ambao hautaweka vikwazo kwa mtoto wa kike kufiki...

VIEW IT NOW download REPORT

MFUMO KANDAMIZI KWA MTOTO WA KIKE

Wanafunzi wasichana wa Kitanzania wanakabiliwa na vikwazo vingi kupata elimu ikiwemo mazingira duni ya kujifunzia, hali duni ya kiuchumi kwa baadhi ya familia, kutozingatiwa kwa mahitaji maalumu ya wa...

VIEW IT NOW download REPORT

Wanasiasa wanaweza kuwa daraja zuri au baya katika elimu.

Wanasiasa wanaweza kuwa daraja zuri au baya katika elimu.   Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 11 (2) “Kila mtu ana haki ya kujielimisha, na kila raia atakuwa huru kutafut...

VIEW IT NOW download REPORT

Uwepo wa sheria ni muhimu katika kuhakikisha watoto waliopata Mimba wakiwa shule wanapata nafasi ya kupata elimu katika mfumo Rasmi baada ya kujifungua:

Elimu ni suala la muhimu katika maendeleo ya nchi yetu, Ili kuwasaidia wanafunzi kufikisha malengo hayo ni lazima kutengenezwe mazingira mazuri yasiyo na vikwazo ili kuwawezesha wanafunzi kufurahia el...

VIEW IT NOW download REPORT

Changamoto wanazopitia wanafunzi wanapoelekea shuleni.

Jamii yetu ya kiafrika ina kumbwa na changamoto mbalimbali hususani watu wa vijijini, kwani kutokana na umbali mrefu kutoka shuleni wanafunzi wa kike wamekuwa wakipata changamoto mbalimbali kama vile...

VIEW IT NOW download REPORT

Je watoto wa kike wananufaika vya kutosha na fedha za ufadhili wa elimu?

Wafadhili wamekua na mchango mkubwa sana kujitolea rasilimali kwa hali na mali kuhakikisha wanaboresha elimu nchini, wamekuwa wakitoa fedha ambazo zina kwenda moja kwa moja kujengea madarasa, vifaa vy...

VIEW IT NOW download REPORT

Historia ya wanafunzi waliopata ujauzito kurudi shule.

Baada ya kupata uhuru, Rais Julius K. Nyerere aliamini ili kuondokana na changamoto zinazokabili na kuchochea maendeleo elimu ndio chombo kikuu kinachoweza kutumika kukabiliana na changamoto hizo, zik...

VIEW IT NOW download REPORT

SECONDARY EDUCATION QUALITY IMPROVEMENT PROJECT (SEQUIP)

  Mpango huu umedhaminiwa na benki ya dunia, wenye thamani ya dola za marekani milioni 500. Madhumuni ya Maendeleo ya Mpango wa Operesheni huu wa mwaka 2019 ni kuongeza upatikanaji wa elimu ya s...

VIEW IT NOW download REPORT

The spinsters and single parent children protection act, 2005.

Sheria ya Kuwalinda Wari na Mtoto wa Mzazi mmoja Namba 4 ya mwaka 2005” ilichukua nafasi ya Sheria ya Kulinda Talaka za Wajane na wanawake waliotalikiwa ya mwaka 1985, ambayo ilifanya kuwa kosa...

VIEW IT NOW download REPORT

Guidelines on how to enable pregnant school girls to continue with their studies.

  Mwaka 2009 serikali kupitia Wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi ilitengeneza mwongozo huu ili uwe mahususi kwa ajili ya kuruhusu mwanafunzi aliyepata ujauzito kurudi na kuendelea na masomo ya...

VIEW IT NOW download REPORT