Welcome to our website. If you continue to browse and use this website, you are agreeing to comply with and be bound by the following terms and conditions of use. If you disagree with any part of these terms and conditions, please do not use our website.
The use of this website is subject to the following terms of use:
You may not do any of the following while accessing or using the Inclusive Development for Citizens platform and services:
Sheria ya Kuwalinda Wari na Mtoto wa Mzazi mmoja Namba 4 ya mwaka 2005” ilichukua nafasi ya Sheria ya Kulinda Talaka za Wajane na wanawake waliotalikiwa ya mwaka 1985, ambayo ilifanya kuwa kosa kwa msichana kupata mimba akiwa shuleni; na kama msichana huyo akipata mimba akiwa shuleni hupelekea kufukuzwa shule.
Katika kutekeleza hilo bila ya kumdhuru mtoto wa kike kijamii na kisaikolojia, mtoto wa kike anapewa fursa ya kuchagua shule anayopenda ambayo anaweza kurejea masomo yake hadi mwisho kwa sheria hii mpya ya Zanzibar.
SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE YA MWAKA...
ZIJUE HAKI ZAKO DHIDI YA JESHI LA POLISI
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MH...
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari Kuhusu Rip...
Ripoti Kuu Ya Mwaka Ya Mdhibiti Na Mkagu...
Taarifa Ya Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu Wa H...