t

Report

TERMS AND CONDITIONS

Welcome to our website. If you continue to browse and use this website, you are agreeing to comply with and be bound by the following terms and conditions of use. If you disagree with any part of these terms and conditions, please do not use our website.

The use of this website is subject to the following terms of use:


You may not do any of the following while accessing or using the Inclusive Development for Citizens platform and services:


Kanuni za Usimamizi wa Mazingira za Kupiga marufuku mifuko ya Plastic za Mwaka 2019

Shehena ya mifuko ya plastiki iliyozuiliwa au vifungashio vya plastiki vinavyoruhusiwa na Kanuni hizi ikipatikana katika kituo chochote cha mpakani kinyume na masharti ya Kanuni hizi, itarejeshwa katika nchi ilikotoka kwa gharama za mwagizaji wa shehena hiyo. 

Mtu yeyote anayeingiza nchini, kusafirisha nje ya nchi, kuzalisha, kuuza, kuhifadhi, kusambaza, kumiliki au kutumia vifungashio vya plastiki ambavyo havijazuiwa na Kanuni hizi ana wajibu wa kuhakikisha kwamba taka zitokanazo na vifungashio hivyo zinasimamiwa kwa mujibu wa Kanuni za Usimamizi wa Taka Ngumu za mwaka 2009 na Kanuni za Usimamizi wa Taka Hatarishi za mwaka 2009...


Posted on : 29 May, 2019 DOWNLOAD REPORT