t

Update

TERMS AND CONDITIONS

Welcome to our website. If you continue to browse and use this website, you are agreeing to comply with and be bound by the following terms and conditions of use. If you disagree with any part of these terms and conditions, please do not use our website.

The use of this website is subject to the following terms of use:


You may not do any of the following while accessing or using the Inclusive Development for Citizens platform and services:


HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA MWAKA 2023/2024.

Mh Waziri Mwigulu Lameck Nchemba aliwasilisha Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara kwa mwaka 2022/23 pamoja na Mwenendo wa Utekelezaji wa Vipaumbele vya Wizara Kukusanya, kutafuta na kudhibiti mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka unaofuata 2023/2024. Pia  Kufanya tathmini ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 na maandalizi ya Dira 2050. 

 

#ActiveCitizens


download REPORT Posted on : 08 June, 2023